Kapaso Bkp - Tatizo Nini
Shiii BEBERUU We jamani sijui niniiii iii We umepatwa na nini wewee We jamani sijui ninii Iii We umepatwa na nini wewe Sjui niniii mwenzako nakosaga gani wewe
Kapaso Bkp - Paka La Bar
Eti nikung'ang'anie nijiachiee Nicheat nikuone nivumilie Aaah kutwa nilie kisa wewee Simu yako unaishika mwenyewe Nikung'ang'anie nijiachiee Nicheat nikuone
Kapaso Bkp - Moyo
{Intro} Ah, Chunchuu eeeh Shiiii beberuuuu We ngoja nimwambie nisikilize Hakuna mkate mgumu mbele ya chai Hamuoni skuizi mwenzenu niko Bize Hata vijiweni
Kapaso Bkp - Usinioneshe Singeli
Intro Adasco Mtu Mbad Verse Na kwenye mapenzi sina hasara Sijawahi kujutia Ukija kichwa kichwa Ndugu zako watakulilia Sijawaii kupenda Sijui
Kapaso Bkp - Penzi Jipya
J4d sound Shiiiii Beberu Adasco m2 mbad Atupashagi viporoo Atupashi makabichi Tukiachana tumeachana haina ku go back Atumezi matapishi haturudigi reverse Yaani tukiacha
Kapaso Bkp - Shisha Singeli
Shisha Singeli Vinanada Classic Aaah Chunchu Eeeh Ohh Jamani Mapenzi na shisha mi napenda shisha Mi mwenzako sipendi mapenzi ya kibongo mi napenda shisha We jamani
Kapaso Bkp - Yanga ya moto
J4d Sound Mmmh Shii Beberuu Aadasco mtu Mbaya Oya manara wee eeh Ali Kamwe wee eeh Gsm Wee eeh Injinia Wee eeeh Oya wakizitaja timu zao wasiache kujitaja Yanga Yaani
Kapaso Bkp - Tunywe
J4D SOUND BEBERU Beberu Kapaso hapa genius from Tanzania Adasco m2 mbaaya Nikiwa sina niwe mnyonge Yani nikizipata et niwe mpweke Si walikula nikaosha vyombo
Kapaso Bkp - Nitapona lini?
Diselee baba SHii beberu Adasco mtu mbaaya Nishajigawa gawa mbona nishayanawa Yani mtoto wa wa2 nisije kupagawa Uloyafanya sawa nishapotezea Tafuta dereva mwingine