Allow cookies in your browser

Rapcha - 40 Missed Calls Lyrics | LYRNOW.COM

Rapcha - 40 Missed Calls

Copied!edit Lyrics
original text at lyrnow.com/1571331
Verse 1: Rapcha

Someone is playing with me

Kuna mtu ananichezea

Someone is playing with me

Nashuka kiuchumi ndoa yangu inachafuka

Kuna mchezo unaendelea they are playing with me

Muda mchache kwenye ndoa maumivu yamenizidia

Huu ni mwezi wa tano unaingia

Nkitazama muda ni Saa sita usiku, baada ya kumtafuta sana huyu mwenzangu ndo nyumbani anaingia

Niambie umetoka wapi Salma

Hii kesi isidingo si tumetoka kuisolve jana

Isingefika 40 missed calls ka ulikua kwa mama

Nakuambiaga huniheshimu Salma unanidharau sana
Story zako mjini naambiwa

Hamna kitu kinaniuma kama habari kwamba mi namegewa

Unanipandisha hasira navokuambia ukweli afu unanijibu kwa kufoka kama unaonewa

Hebu Leta simu yako, fungua!!!

Salma usinipandishie, icho kiburi chako ntakupasua

Naichukua nianze kuipekua akaja kuikwapua

Akili ikaflip, gun nkanyanyua

Salma Kanijia juu, Nimechoka maisha ya kubaniwa

Bora tu tuachane umezidi kunitishia

Story za malaya wako nikikuambia unajifanya mkali

Kama we kidume fyatua..

Gun shots!!

Chorus: Vanilla
Nilikupenda mpaka kufuru nikawa nawaza jidhuru ukiwa mbali

Tena nikakupa uhuru na ukashindwa shukuru ikawa ndo dosari

Ukaenda ku date na wale

Mi wakuwa nasota we ule

Na mie kukuacha siwezi

Ni bora dunia tuiache aah

Verse 2: Rapcha

Fahamu zinarudi akili imeduaa

Salma anateseka chini baada ya risasi nne kumvaa

Hofu kubwa inaniingia nikiangalia

Damu yake inavyonililia chini inatapakaa

Ndo Idea ya kukamatwa ikanijia

Nikajua haitopita muda mapolisi watanitimbia
Ila nguvu zote zishaniishia

Nikiumia kuona safari yetu ya mapenzi ilipokwamia

Dhambi inaanza kunitafuna

Natamani nirudishe muda nyuma niongee na Salma

Najiona mnafki kwa kumwaga damu kwa makosa ambayo moyoni najua kuwa na mimi nafanya

Itanitesa maisha yangu yote hii memory

Ego zetu zimefanya tumeharibu destiny

Vita na Insecurities hakukuwa na honesty

Na loyalty marafiki wakatunyima privacy

Litimie agano

Nahisi Mungu ametuchagua mi na wewe tuwe mfano

Salma, hukustahili hii adhabu ninakiri

Naomba kabla haujafika mbali nisubiri

Gun shot!!

Vanilla

Roho yangu inauma

Kosa lako kuzichezea hisia zangu

Inamaana hukuona

Nilivyopambana kuziheshimu hisia zako?

Aaah

Chorus

Nilikupenda mpaka kufuru nikawa nawaza jidhuru ukiwa mbali

Tena nikakupa uhuru na ukashindwa shukuru ikawa ndo dosari

Ukaenda ku date na wale

Mi wakuwa nasota we ule

Na mie kukuacha siwezi

Ni bora dunia tuiache aah
 
0

Song Description:

edit soundcloud

SoundCloud:

edit soundcloud

More Rapcha lyrics

Rapcha - Low
{Verse 1} You that i wanna be, I wanna be Tuwe mommy na dady someday Baby, Mi I’m not gonna be Not gonna be flani ataekuweka upset

Rapcha - Narudi Home
Olemhola coz i miss you mommy Olemhola coz i miss you mommy Olemhola coz i miss you mommy Niko alright but i miss you mommy {Verse 1}

Rapcha - ShyTown
Shy town what’s poppin {chorus} Oya mi natoka shytown mambo ya beaches i don’t know Beach mi nimezikuta dar Town kuna mishe i don’t know

Rapcha - It’s Okay
{Verse 1} Nlipokucheck kwa phone Hata nikuone simu ulikua huzioni Trying to reach you ila unanikimbia nkaanza kudata alone Father anasema son unaisha

Rapcha - 40 Missed Calls
{Verse 1: Rapcha} Someone is playing with me Kuna mtu ananichezea Someone is playing with me Nashuka kiuchumi ndoa yangu inachafuka

Rapcha - Fungua
Oya mwanangu vipi? 99 mwanangu Mbona kinyonge? Ahhh hamna ishu wala nini Ndo shida hiyo ya kubetia team msizozijua hahah Ahh sio kubet

Rapcha - Enjoy
{Intro} 99 everything Last king {Verse 1} Oya Moko moko yes au vipi? Tujiachie ka hatuna kesi au vipi? Pakizidi

Rapcha - Tunasafiri
Huture where are you at? {Verse 1} Oya twende tukadake bomu Das Das wanangu inabidi tujichange Chap tukadake na misosi Hela ka

Rapcha - Uongo
{Verse 1} Ndani ya dakika mbili nafika hapo usichoke no usichoke Ndani ya siku ka mbili nakupeleka shopping mall usikonde Ndani ya wiki ka mbili kuna hela

Rapcha - Tikitakatuku
{Chorus} Tiki tiki taka tuku My head spinning like Everytime uki’pull up my head goes like Tiki tiki taka tuku Unanivuruga