Nandy - Unanimaliza

Copied!edit Lyrics
original text at lyrnow.com/1861559
Kimambo, on the beat
Hili huba, limenisafirisha mazima
Kwenye dunia yangu mi na wewe
Tuwe wote mi na wewe
Halitofubaa, mbali si' tutafika lazima
Na kwenye moyo wangu upo wewe
Tuwe wote mi na wewe
Yaani kichwani nakuwaza wewe
Naona najiingiza mazima
Nini umenipa wewe?
Ona midadi inaniita
Nina imani nikiwa na wewe
Napona hata bila kupima
Nini umenipa wewe?
Ona midadi inaniita
Na nilivodidimia, unachuchumia
Penzi lako nipe we
Vile unang'ang'ania, mi napenda pia
Unafanya nilewe
Unanimaliza
Unanimaliza
Unanimaliza
Unanimaliza
Aahhh
Lody Music on this one
Ninapumilia mipira
Nitapokukosa nitashindwa hata kufikiri
Nakuwaza we, unaniwaza mi
Penzi linapata mavuno
Unavonipenda mpaka raha
Mi natoa posa siwezi kufanya siri
Nataka kuwa na we, unataka kuwa na mi
Wanga wanawashwa mikuno
Yaani mpaka raha
Napendwa-nalishwa-naogeshwa-navishwa nguo yaani mpaka nampenda
Na-ninavoaminishwa-kabisa-kwamba-chaguo lake kabisa kanipenda
Napendwa-nalishwa-naogeshwa-navishwa nguo yaani mpaka nampenda
Na-ninavoaminishwa-kabisa-kwamba-chaguo lake kabisa kanipenda
Unanimaliza
Unanimaliza
Unanimaliza
Unanimaliza
 
0

Song Description:

edit soundcloud

SoundCloud:

edit soundcloud

More Nandy lyrics

Nandy - Nimekuzoea
(Kimambo on the beats) Aiyayayaya aiyayayaya Aiyayayaya aiyayayaya Niko tu mi baby Kama maji kwa mtungi Nyonga buli baby Nivute niiishi nibaki kishungi

Nandy - Dah!
Mie salama na mzima Sina hata useme adaah Mie salama na mzima Sina hata useme adaah Umenishika kwa mtima Pumzi sihemi adaaah Penzi si made in china Halinaga utemi

Nandy - Raha
OverviewListenLyrics Nawaza ingekuaje kama ningekukosa Nawaza Inamaana hizi raha zote ningezikosa Nawaza Penzi limenikolea kama mtoto anashindwa tembea Raha zimenibombea

Nandy - Falling
Eeeh Ayeye yaah Ayeye yaah Ayeye yaah Ooh baby umenikamata you're eyes on me Kwa moyo hakuna matata ushaweka kambi Hauna baya hauna kona hauna dhambi Tazama

Nandy - Mchumba
Kaniweza mimi mi kwake Muoga kunguru nifanyeje ajue Nitakufa mimi baby roho yangu Inusuru nifanyeje ujue Nikuhonge au Aaah Nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah

Nandy - Napona
Napona napona Napona, Oxlade Napona napona (Kimamba) Napona (on the beats) Yana nitoka macho, nikikuona kwa mbali Nakosa usingizi, usipokuwepo silali Nafuata

Nandy - Hatujui
Hatujui Hatujui (Hatujui, Hatujui) Ayooh Kenny Hivi mnajua hili beat amegonga nani (Hatujui) Na tulivyo record umeme aliweka nani (Hatujui) Ngoma ime recordiwa studio ama

Nandy - Unanimaliza
Kimambo, on the beat Hili huba, limenisafirisha mazima Kwenye dunia yangu mi na wewe Tuwe wote mi na wewe Halitofubaa, mbali si' tutafika lazima Na kwenye moyo wangu upo

YouTube

edit video

Nandy

Nandy
edit foto

Biography

edit bio
Nandy is one of the fastest rising female artistes from Tanzania. Known for her hit songs “One Day” and “Nagusagusa”,
Nandy is a talented vocalist who earned a second place spot at the Tecno Own the Stage (2015/2016) music contest held in Nigeria.
She makes her debut on Coke Studio Africa 2017 paired with Betty G from Ethiopia.

THE JOURNEY
Nandy started her music career in 2010 when she got to record her first three singles. She later joined one of Tanzania’s leading bands, B Band, performing alongside Banana Zorro for a couple of years.
Her break into the limelight came after the Tecno competition, a show that earned her crucial recognition beyond Tanzania. The songstress then joined Tanzanian record label THT MEDIA and released her hit single “Bye” (My Ex).

MUSIC MEETS FASHION
She has collaborated with some of East Africa’s top artistes including Chege on “Kelele za Chura” and Ice Boy on “Binadamu”.
Away from music, Nandy is also a fashionista and has an African attire store known as Nandi African Prints.

HER LIFE STORY
Nandy was born as Faustina Charles Mfinaga in 1992 to Maria and Charles Mfinaga in Moshi, northern Tanzania. She attended Julius Kambarage Nyerere Primary School and later joined Lomwe High School. Nandy studied at the CBE College of Business Education in Dar es Salaam. At the age of six, Nandy was already singing in church and joined the school choir at 15 years of age, where she started to nurture her music.