Rhymes_ab - Ifikie Zakayo

Copied!edit Lyrics
original text at lyrnow.com/2063909
(it'sBill on the Beat Kama Kawa,)

Vijana msilale
Lale lale
(Rhymes, ab, oK)
Vijana msilale
Bado mapambano
Mapambano Mapambano
Bado Mapambano

I had to take a seat na hii Bill Now
Mlidhani si wajinga nyi' wajinga nyinyi
Nikasoma kila chapter in a deeper way
Hamtatubeba ka mafala tushachoka sisi
Na hii Gen ni ya wa zii tushaona mbele
Tumechoka na ma promises na Makelele
Ka ni Canaan tutafika bila nyinyi
Tumechoshwa na kelele za Zakayo na wenzake now

Na ka ni Sera mliuza na Kelele
Kusema mshasema kutenda bado hamtendi wow
Nika Zakayo Hatosheki na Ushuru
Na hii Bill inafinance wake zao jamani
Hatuoni Nuru Gizani..Kelele za Chura matazipiga hadi lini
Hadi Mkate inatozwa Ushuru
Afadhali tungebaki na Uhuru
Hata bila Baba maandamano is the new norm
Si tumechoka ka waKenya tushaona Mbele
Hakuna kazi twapambana mjini
Zakayo na wenzako mtatufinya hadi lini
Mnatuchanganya na Maombi na Mtendi
Tumesha Chanuka so Ujinga hatupendi
Juu nakumbuka manifesto za upuzi
Haikuwa mbali jamani ilikuwa Juzi

Tulipiga kura na Sera nyi mliuza
Mkachaguliwa na sasa si twalia
Si tumechoka now we really need a change
Na ka vijana acha si tuflip the page
Wengine ma Pretender ka ule Madam Orwoba
Pads mnatax Walai hamna adabu
Wakenya tushachoka na hizi Story za Jaba
Wengine si ma leader ni watoto its a deeper mess

Na leader kama Ruku ana propose a bill
Tusiprotest on the streets na wanatukill
KJ maandamano tu si fake
Tuna occupy the streets juu hii bill inatukill now
Na kila photo tuni real ka hujui
Usitubebe ka mafala jamani si tumechoka
After maandamano maybe central ndio the new home
Si tumechoka na ushenzi it’s a deeper mess
Hata Zam Zam anajua twa umia
Hata Cancer mnatax tumechoka sisi
I make content for a living though you wanna kill it
Hakuna kazi hii Ushuru tutalipa vipi
Mlisema kazi kwa vijana pesa kwa wazee
Sahii ni kazi kwa wazee pesa kwa wazee
Na Eco levy ina tungoja hope we make change
Mshaziuwa ndoto zangu za ku buy range

Hadi Mpesa mnataka Ushuru
Tukona haki lakini hatuna Uhuru
Na 2027 bado inawadia
It’s high time ka vijana si tu make a change
I hope we choose leaders wata fanya kazi
Isiwe tribal though ma leader watamake a difference
Hii ni waraka ifikiye tu Zakayo
I hope sita potea kama Enzi za Nyayo

Na 2027 bado inawadia
It’s high time ka vijana si tu make a change
I hope we choose leaders wata fanya kazi
Isiwe tribal though ma leader watamake a difference
Hii ni waraka ifikiye tu Zakayo
I hope sitapotea kama Enzi za Nyayo
Hii ni waraka ifikiye tu Zakayo
I hope sita potea kama Enzi za Nyayo
(Enzi za Nyayo)

Outro
Vijana msilale
Lale lale
Vijana msilale
Bado mapambano
Mapambano Mapambano
Bado Mapambano Mapambano Mapambano
Bado Mapambano Mapambano Mapambano
 
0

Song Description:

edit soundcloud

SoundCloud:

edit soundcloud

More Rhymes_ab lyrics

Rhymes_ab - Ifikie Zakayo
(it'sBill on the Beat Kama Kawa,) Vijana msilale Lale lale (Rhymes, ab, oK) Vijana msilale Bado mapambano Mapambano Mapambano Bado Mapambano I