Rama Dee - Kama Hauwezi

Copied!edit Lyrics
original text at lyrnow.com/2068001
Verse 1: Lady Jaydee
Vipi mpenzi, huoni mbali?
Kweli huwezi kwenda mbali, na mie
(Na mie)
Kweli mengi huletwa ndani
Si halali kuyapokea yote, unitupie
Tutagombana, 'kila siku mpenzi
Tutaudhiana, 'kila siku ndani
Tutatishiana, kugawana mali
Bila kumjua mchawi wetu nani

Chorus: Lady Jaydee & Rama Dee
Kama huwezi
(Eh, eh)
Kuwa mkweli
(Eh, eh)
Ona...
Kamwe mpenzi mbele 'hatutofika mama
Kama pesa, 'zipo za kututosha, ma
Kama huwezi
(Eh, eh)
Kuwa mkweli
(Eh, eh)
Ona...
Kamwe mpenzi mbele 'hatutofika mama
Kama pesa, 'zipo za kututosha, ma

Verse 2: Rama Dee
Hizi lawama ziishie leo, leo
Isifikie wakwe wanivue vyeo
Kwa gubu lako tu, mami
Lawama zako zisinitie uchizi
Nibadili mipango yetu mingi
Hatutogombana, tukifata yetu
Tutaheshimiana, tukipanga yetu
Hatutofikia, tugawane mali
Mimi nawe (Nawe)
Ona...

Post-Chorus: Rama Dee
Kama huwezi
(Eh, eh)
Kuwa mkweli
(Eh, eh)
Ona...
Kamwe mpenzi mbele 'hatutofika mama
Kama pesa, 'zipo za kututosha, ma
Kama huwezi
(Eh, eh)
Kuwa mkweli
(Eh, eh)
Ona...
Kamwe mpenzi mbele 'hatutofika mama
Kama pesa, 'zipo za kututosha, ma

Hook 1: Lady Jaydee
Tutagombana, 'kila siku mpenzi
Tutaudhiana, 'kila siku ndani
Tutatishiana, kugawana mali
Bila kumjua mchawi wetu nani

Hook 2: Rama Dee
Hatutogombana, tukifata yetu
Tutaheshimiana, tukipanga yetu
Hatutofikia, tugawane mali
Mimi nawe (Nawe)
Ona...

Chorus: Lady Jaydee & Rama Dee
Kama huwezi
(Eh, eh)
Kuwa mkweli
(Eh, eh)
Ona...
Kamwe mpenzi mbele 'hatutofika mama
Kama pesa, 'zipo za kututosha, ma

Outro: Rama Dee
Kama huwezi
(Eh, eh)
Kuwa mkweli
(Eh, eh)
Ona...
Kamwe mpenzi mbele 'hatutofika mama
Kama pesa, 'zipo za kututosha, ma
 
0

Song Description:

edit soundcloud

SoundCloud:

edit soundcloud

More Rama Dee lyrics

Rama Dee - Kama Hauwezi
{Verse 1: Lady Jaydee} Vipi mpenzi, huoni mbali? Kweli huwezi kwenda mbali, na mie (Na mie) Kweli mengi huletwa ndani Si halali kuyapokea yote, unitupie