Allow cookies in your browser

Zanzibar Taarab - Moyo Hausemezeki Lyrics | LYRNOW.COM

Zanzibar Taarab - Moyo Hausemezeki

Copied!edit Lyrics
original text at lyrnow.com/2096141
Moyo hausemezeki
Kwa kitu ukipendacho
Moyo hausemezeki
Kwa kitu ukipendacho
Japo kiwe na hilakii
Kisichoridhisha macho
Japo kiwe na hilakii
Kisichoridhisha macho

Moyo utakishiriki ndilo kisichokuwa ndicho
Moyo utakishiriki ndilo kisichokuwa ndicho

Moyo hausemezeki
Kwa kitu ukipendacho
Kwa kitu ukipendacho

Nimesema nawo sana nikaupa mahusio
Nimesema nawo sana nikaupa mahusio
Usiendekeze sana na mengi matamanio
Usiendekeze sana na mengi matamanio
Ujuwe neno hapana usikazanie ndio
Ujuwe neno hapana usikazanie ndio

Moyo hausemezeki
Kwa kitu ukipendacho
Kwa kitu ukipendacho
Nitauwambia nini moyo unisikilize
Nitauwambia nini moyo unisikilize
Uwingiwe na imani machozi yasinilizie
Uwingiwe na imani machozi yasinilize
Wenye rai nambieni wazo lenu nisikize
Wenye rai nambieni wazo lenu nisikize

Moyo hausemezeki
Kwa kitu ukipendacho
Kwa kitu ukipendacho

Nimesema nawo sana nikaupa mahusio
Nimesema nawo sana nikaupa mahusio
Usiendekeze sana na mengi matamanio
Usiendekeze sana na mengi matamanio
Ujuwe neno hapana usikazanie ndio
Ujuwe neno hapana usikazanie ndio

Moyo hausemezeki
Kwa kitu ukipendacho
Kwa kitu ukipendacho
Kwa kitu ukipendacho
Kwa kitu ukipendacho

Moyo ni kitu chepesi rahisi kuridhika
Haupendi ni uhasi mara moja hukasirika
Hadi upate nafasi hapo utafurahihika
 
0

Song Description:

edit soundcloud

SoundCloud:

edit soundcloud

More Zanzibar Taarab lyrics

Zanzibar Taarab - Moyo Hausemezeki
Moyo hausemezeki Kwa kitu ukipendacho Moyo hausemezeki Kwa kitu ukipendacho Japo kiwe na hilakii Kisichoridhisha macho Japo kiwe na hilakii Kisichoridhisha macho