Polycarp Otieno - Lala Toto Lala

Copied!edit Lyrics
original text at lyrnow.com/2096286
Verse 1
Wamemchukua
Kutoka mikono yangu
Serikali yaungana
Watu wasio watu
Wameninyanganya mtoto
Toka mikono yangu
Serikali ya wezi
Na watu wasio utu

Chorus
Mawingu yametanda
Kaburi imeshukishwa
Kasisi akasema
Nenda salama, nenda
Lala, mtoto lala
Lala, mtoto lala

Verse 2
Rest easy, knowing
We won't forget
We chant your name
Rest easy
We will fight again
You are not in vain
Peace to the fallen
Freedom is calling
Lift our voices
Tell, our stories

Chorus
Mawingu yametanda
Kaburi imeshukishwa
Kasisi amesema (akasema)
Nenda salama, nenda
Lala, mtoto lala
Lala, mtoto lala (uuuu)
Haki inakuja, lala
Lala, mtoto lala

Outro
Mawingu yametanda
Kaburi imeshukishwa
Kasisi amesema
Nenda salama, nenda
Lala, mtoto lala
(Lala, mtoto lala, mtoto lala)
Lala, mtoto lala
(Lala, mtoto lala, mtoto lala)
Haki inakuja, lala
(Mtoto lala, mtoto lala)
Lala, mtoto lala
(Lala, mtoto lala, mtoto lala)
 
0

Song Description:

edit soundcloud

SoundCloud:

edit soundcloud

More Polycarp Otieno lyrics

Polycarp Otieno - Lala Toto Lala
{Verse 1} Wamemchukua Kutoka mikono yangu Serikali yaungana Watu wasio watu Wameninyanganya mtoto Toka mikono yangu Serikali ya wezi Na watu wasio