Allow cookies in your browser

Rapcha - Kama Unae Lyrics | LYRNOW.COM

Rapcha - Kama Unae

Copied!edit Lyrics
original text at lyrnow.com/817585
Kama unae
Kama unae kama unae
Kama unae mmoja mposti
Kama unae kama unae
Kama unae mmoja mposti

Verse 1. (Rapcha)

Babe tuna-match hawagusi

Staki kuvaa tena nuksi

Kucheat sasa nukta

Tunashare perfume hata nikikucheat harufu inanisuta

Post mpaka wakublock, huh! Safi!

Kama hawana bundle wasaidie WiFi

Wana jealous kuona sipepesi kwako

Na we sio mwepesi, me i love nobody but you

You and I tu, sina option

Onesha kama unae mmoja weka caption

Watu hata ukijificha watakuchimba

Kama unae mmoja utamlinda


Bridge - Kid Golden

Honey ukinimiss we ni-text

Ama video call coz I’m here for you

Washakunaku wakiku-test

Nipost kila time waboreke tu

Chorus

Kama unaе
Kama unae kama unae
Kama unae mmoja mposti
Kama unaе kama unae
Kama unae mmoja

Oooh aaah waoneshe
Vile ulivyo bomba wakomeshe

Oooh aaah waoneshe
Vile ulivyo bomba wakomeshe


Love, kwanza hawatuvishi unajua

Na wala hatuli kwao wanajitia kutujua

Mi sina story zao ila za kwetu wanajua

Si wanaweza na wao yanini kutusumbua!?

Sasa, Tutaenda beach mida ya sunset

Waalike marafiki kwenye engagement

Na kila tukio picha zitahusu

Tumwogope nani umri unaruhusu

I’m so proud of you, let them know that

Look how you are beautiful, oh my God!

Nahisi ndio naanza ku-date for the first time

Siko late, and I’m very glad that you’re mine

Bridge : Kid Golden

Honey, wadada wengi wananicheck

Nawaambia hapana mi wako tu

Kabisa nimeweka break

Gari imezimika kwako tu


Kama unae
Kama unae kama unae
Kama unae mmoja mposti
Kama unae kama unae
Kama unae mmoja

Oooh aaah waoneshe
Vile ulivyo bomba wakomeshe

Oooh aaah waoneshe
Vile ulivyo bomba wakomeshe
 
0

Song Description:

edit soundcloud

SoundCloud:

edit soundcloud

More Rapcha lyrics

Rapcha - Umefanana nae
Baby today Lemme talk you Kwakua nakupenda sana ni salama sana ujue the truth Please vumilia utasahau na ili mimi niwe free leo nita comfess tu Ex wangu umefanana nae sana yani

Rapcha - TwoFiveVibes Freestyle 4
Speaking of me nshakataa kuwa normal Kabla hujamiliki gari jua kuendesha akili na mdomo So Wakileta ujuaji tunawalia michuno Afu kinachofata ni mikuno ka Fernandez Bruno! NYIE

Rapcha - Kisanga Freestyle
Jana njaa imenipiga nusu kuniua Sema getto hamna Friji ningepata hata Ka juice unajua Baisa Aliacha buku mezani Nikasmile kisha nkajivuta kwa muha Nipate japo hata vitumbua

Rapcha - Drama Freestyle
Tuliambizana tusishike simu za wapenzi tuaminiane We ulienda kushika ya nini Aliiacha kidogo akaingia bafuni afu akasahau kupiga lock Dah hata mimi ningeitupia jicho naamini

Rapcha - Amen
{Verse I: Rapcha} Uh hebu tazameni Matendo ya Mungu yanavyotisha Amefanya mengi makubwa ya kustaajabisha Marafiki leo wana upendo kesho umekwisha Ila upendo

Rapcha - Vunga
Chorus: Fanya kama hujaniona Fanya kama hujaniona Tukiumana kona Fanya kama hujaniona' ka una pigo za kiree, Basi' Yeah *Blaq>>Blaq* Fanya kama

Rapcha - Majani
M. A. J. A. N. I (Majani) M. A. J. A. N. I (Majani) M. A. J. A. N. I (Majani) Verse 1 1996 yeah i started running this game Nkakiwasha and

Rapcha - Go Rapcha
Kwa Heshima ya getto Nyoosha ngumi juu Onetime (yes) Up Up Up Breaking News Kituo Cha polisi kimevamiwa (yes) Up Up Up (Say whaaaat)

Rapcha - Goo Rapcha
Kwa Heshima ya getto Nyoosha ngumi juu Onetime (yes) Up Up Up Breaking News Kituo Cha polisi kimevamiwa (yes) Up Up Up (Say whaaaat)

Rapcha - Unaua Vibe Remix
Ametinga kinoma Mwache acheze ajimwage (Femi uno) Tinga kinoma Dj tena idondoshe Verse 1 Nikapatana na mchizi Akanishow