Rapcha - Unaua Vibe Remix

Copied!edit Lyrics
original text at lyrnow.com/817579
Ametinga kinoma

Mwache acheze ajimwage

(Femi uno)

Tinga kinoma

Dj tena idondoshe

Verse 1

Nikapatana na mchizi

Akanishow vile ameomoka

Nikamshow basi alipe bill tukiondoka

Kwanza sikuamini ile mtaa anapotoka

Saa za mechi mi nacheki jo boxer imetoboka (wuuuh)

Haina issue nikaona wacha nimpe vitu

Nikavua mini ndio acheki ka see through

Leo kiuno nitampea na mchezo wa kati tu

Lakini nashindwa wapi mti kwenye huu msitu? (Wuuuh)

Ikiwa hawezi amsha nikaona wacha tulale

Labda mida yake masaa yatadunga mshale

Masaa yake naskia ninaguswa mgongoni

Kumbe Dah sio mchizi ni bonge la kunguni


Chorus: Rapcha

Aisee unaua vibe unaua
Unaua vibe unanikata stimu
Unaua vibe unaua
Unaua vibe unanikata stimu

Unaua vibe unaua
Unaua vibe unanikata stimu
Unaua vibe unaua
Unaua vibe unanikata stimu


Verse 2. Rapcha


Kaniona fresh akaja race

Nikupe company!? mi nikasema yes

Kaniomba hug tu mi nikaona sio kesi

Harufu ya kwapa dada mbona sio fresh?

Ukinigea chuna usiniletee noma

Tunachat utamu una screenshot, we koma

Najipenda kinoma usiniletee homa

Yani tumepona ma-corona uniletee ngoma

Mademu wa mjini kavu muulize brother babuu

Tumia kinga ukishaona kachora ng’e tattoo

Ukidata fasta na make up itakucosti

Akinawa uso inabaki sura ya passpoti

Chorus

Aisee unaua vibe unaua
Unaua vibe unanikata stimu
Unaua vibe unaua
Unaua vibe unanikata stimu

Unaua vibe unaua
Unaua vibe unanikata stimu
Unaua vibe unaua (eh)
Unaua vibe unanikata stimu


Verse 3. King Kaka

Nishapata dem juzi namarinate kejani

Kaniguarantee doshi inadoz ndani

Pilka pilka ya kuteremsha toja

Boy wangu kwa mlango anagonga

Anyways ni Friday nimelipa

Na kuna dem flani nimealika

Uchi hata CD nimevaa

Niko ready kucum anadai….ah ah

Juzi tu si nimepiga kura

Washaingia ofisini ni pesa wanakula

Washauza nchi sasa watakinda nini

Ni sisi yaani nyinyi, wajinga nyinyi

Outro

Unaua, unanikata stimu
Unaua, unanikata stimu
Unaua, unanikata stimu
Unaua, unanikata stimu

Ametinga kinoma
Mwache acheze ajimwage
Tinga kinoma
Dj tena idondoshe
 
0

Song Description:

edit soundcloud

SoundCloud:

edit soundcloud

More Rapcha lyrics

Rapcha - Nitakucheki
Rapcha International waoneshe Verse 1 Kama umenikosha hivi Siwezagi kuzama simple Usione umenishika akili Usije ukajidanganya

Rapcha - Kama Unae
Kama unae Kama unae kama unae Kama unae mmoja mposti Kama unae kama unae Kama unae mmoja mposti Verse 1. (Rapcha) Babe tuna-match hawagusi Staki

Rapcha - Tunajimwaga
Yea yea yeah yeah Verse 1 Hii sound ndio wana wanaipenda Popote wana-vibe wanacheza Show me now kama you can dance Onesha ka unafeel hii

Rapcha - Lissa
Saa Sita Mchana jua la utosi Chuo Boom limetema Nimekaa Kibosi hata presha ya msosi sina Prr somebody's calling, Ooh Kumbe Lissa Nimemsave Love Of My Life

Rapcha - Lissa 2
Eugen sogea karibu kidogo Kabla sijakata pumzi ya mwisho tuongee japo kidogo Enjoy kila siku iendayo kwa Mungu Kwenye maisha ya mwanadamu siku za furaha huwa ni

Rapcha - Mungu Na Masela
Chorus: Rapcha Maskani tukipita wakaniona Roho zao zinawachoma Hawataki Nidake Salio “Namba” Wame-tight kila kona Verse. 1

Rapcha - Amen Remix
Verse 1: {Rapcha} Nilipohisi upweke kwenye moyo na mawazo kunichakaza Wanadamu nikawaomba msaada wakanitangaza Nikainua macho kwako, Ukaniambia

Rapcha - A.D.E
Verse 1 : {Rapcha} I had a dream last night Nipo kwenye mansion Shytown, blazing skunk Feeling so fresh 99 lifestyle A.D.E (All Day

Rapcha - 48 Bars Freestyle
Mwana ananiuliza kuhusu Ye na kim Ye mwenyewe haelewi kuhusu ye na kim Utapoteza focus kwa maisha ya simu Usibebe vitu road we tembea na stimu On top of

Rapcha - Bado
Sjui nakosea wapi, show me how to love Labda Nina upendo mwingi pesa chache, that’s all i have Hata Nikikupa zawadi ndogo fanya kuithamini Coz you give what you love