Rapcha - Tunajimwaga

Copied!edit Lyrics
original text at lyrnow.com/817586
Yea yea yeah yeah

Verse 1

Hii sound ndio wana wanaipenda

Popote wana-vibe wanacheza

Show me now kama you can dance

Onesha ka unafeel hii sound

Ushanipata!

Ladies whine.. whine.. whine

Show them ka uko fine fine fine

Wanangu wako high wana-blaze chunga usiwadisturb (oooh aaaiyaah)

Bridge

One time for my Shytown girls (Oyeaah)

Two times for my A-Town girls (Oyeaah)

Three times My Dar-es-salaam girls

Me I got love for you

(Yeah yeah yeah)

One time for my Rock City girls (Oyeaah)

Two times for my Dodoma girls (Oyeaah)

All my Tanzanian girls

Me i got love for you

Chorus

Tunajimwaga!

Mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!

Tunajimwaga!

Mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!

Tunajimwaga!

Mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!

Naona watu wameshona

Wengi kinoma

Wanaruka mangoma mhh aaah

Tunajimwaga


Verse 2

Mziki unanoga nayaruka

Nenda nao

Rudi nao

Mziki unanoga nayaruka

Nenda nao

Rudi nao

Zikikita ngoma jisogeze

Tujipongeze Tucheze

Na Pesa kila kona ijitokeze

Tusiipoteze Nyingi tuongeze

Wanangu force mpaka iwe (iwee)

Changa changa mpaka iwe (iwe we we weeeh)

Kama noma acha iwe (iwee)

We ng’ang’ana mpaka iwe (mpaka iwe) ah!

One time kwa wanangu wa magetto (Ooo yeah)

Two times kwa mahustler msoto (oyaaa)

Three times kwa machizi wenye ndoto

Tutaishi good life tu


Chorus

Tunajimwaga! mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!

Tunajimwaga!

Mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!

Tunajimwaga!

Mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!

Tunajimwaga!

Mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!

Naona watu wameshona

Wengi kinoma

Wanaruka mangoma mhh aaah

Tunajimwaga
 
0

Song Description:

edit soundcloud

SoundCloud:

edit soundcloud

More Rapcha lyrics

Rapcha - Lissa
Saa Sita Mchana jua la utosi Chuo Boom limetema Nimekaa Kibosi hata presha ya msosi sina Prr somebody's calling, Ooh Kumbe Lissa Nimemsave Love Of My Life

Rapcha - Lissa 2
Eugen sogea karibu kidogo Kabla sijakata pumzi ya mwisho tuongee japo kidogo Enjoy kila siku iendayo kwa Mungu Kwenye maisha ya mwanadamu siku za furaha huwa ni

Rapcha - Mungu Na Masela
Chorus: Rapcha Maskani tukipita wakaniona Roho zao zinawachoma Hawataki Nidake Salio “Namba” Wame-tight kila kona Verse. 1

Rapcha - Amen Remix
Verse 1: {Rapcha} Nilipohisi upweke kwenye moyo na mawazo kunichakaza Wanadamu nikawaomba msaada wakanitangaza Nikainua macho kwako, Ukaniambia

Rapcha - A.D.E
Verse 1 : {Rapcha} I had a dream last night Nipo kwenye mansion Shytown, blazing skunk Feeling so fresh 99 lifestyle A.D.E (All Day

Rapcha - 48 Bars Freestyle
Mwana ananiuliza kuhusu Ye na kim Ye mwenyewe haelewi kuhusu ye na kim Utapoteza focus kwa maisha ya simu Usibebe vitu road we tembea na stimu On top of

Rapcha - Bado
Sjui nakosea wapi, show me how to love Labda Nina upendo mwingi pesa chache, that’s all i have Hata Nikikupa zawadi ndogo fanya kuithamini Coz you give what you love

Rapcha - Melody
Na hii baridi ningekuwa na ye Ningemkumbatia nkimwimbia nyimbo nzuri za mapenzi all day Nimueleze kuwa maisha yangu yote yaliyobakia kwenye hii dunia ningependa niishi na ye

Rapcha - Wait
Hey babe, nimemiss zile pillow talk Looking in your eyes was really dope Muda ungeondoka upesi Uje fasta naku-wait And babe nimemiss zile night walk

Rapcha - Interview
Asubuhi flani hang over bwii Nani tena huyu ananipigia saa hii Napapasa kuitafuta simu mpaka naikamata Macho kwenye screen naona jina “GACHI B” We mshezi