Vijana msilale Lale lale (Rhymes, ab, oK) Vijana msilale Bado mapambano Mapambano Mapambano Bado Mapambano
I had to take a seat na hii Bill Now Mlidhani si wajinga nyi' wajinga nyinyi Nikasoma kila chapter in a deeper way Hamtatubeba ka mafala tushachoka sisi Na hii Gen ni ya wa zii tushaona mbele Tumechoka na ma promises na Makelele Ka ni Canaan tutafika bila nyinyi Tumechoshwa na kelele za Zakayo na wenzake now
Na ka ni Sera mliuza na Kelele Kusema mshasema kutenda bado hamtendi wow Nika Zakayo Hatosheki na Ushuru Na hii Bill inafinance wake zao jamani Hatuoni Nuru Gizani..Kelele za Chura matazipiga hadi lini Hadi Mkate inatozwa Ushuru Afadhali tungebaki na Uhuru Hata bila Baba maandamano is the new norm Si tumechoka ka waKenya tushaona Mbele Hakuna kazi twapambana mjini Zakayo na wenzako mtatufinya hadi lini Mnatuchanganya na Maombi na Mtendi Tumesha Chanuka so Ujinga hatupendi Juu nakumbuka manifesto za upuzi Haikuwa mbali jamani ilikuwa Juzi
Tulipiga kura na Sera nyi mliuza Mkachaguliwa na sasa si twalia Si tumechoka now we really need a change Na ka vijana acha si tuflip the page Wengine ma Pretender ka ule Madam Orwoba Pads mnatax Walai hamna adabu Wakenya tushachoka na hizi Story za Jaba Wengine si ma leader ni watoto its a deeper mess
Na leader kama Ruku ana propose a bill Tusiprotest on the streets na wanatukill KJ maandamano tu si fake Tuna occupy the streets juu hii bill inatukill now Na kila photo tuni real ka hujui Usitubebe ka mafala jamani si tumechoka After maandamano maybe central ndio the new home Si tumechoka na ushenzi it’s a deeper mess Hata Zam Zam anajua twa umia Hata Cancer mnatax tumechoka sisi I make content for a living though you wanna kill it Hakuna kazi hii Ushuru tutalipa vipi Mlisema kazi kwa vijana pesa kwa wazee Sahii ni kazi kwa wazee pesa kwa wazee Na Eco levy ina tungoja hope we make change Mshaziuwa ndoto zangu za ku buy range
Hadi Mpesa mnataka Ushuru Tukona haki lakini hatuna Uhuru Na 2027 bado inawadia It’s high time ka vijana si tu make a change I hope we choose leaders wata fanya kazi Isiwe tribal though ma leader watamake a difference Hii ni waraka ifikiye tu Zakayo I hope sita potea kama Enzi za Nyayo
Na 2027 bado inawadia It’s high time ka vijana si tu make a change I hope we choose leaders wata fanya kazi Isiwe tribal though ma leader watamake a difference Hii ni waraka ifikiye tu Zakayo I hope sitapotea kama Enzi za Nyayo Hii ni waraka ifikiye tu Zakayo I hope sita potea kama Enzi za Nyayo (Enzi za Nyayo)
★ Outro ★ Vijana msilale Lale lale Vijana msilale Bado mapambano Mapambano Mapambano Bado Mapambano Mapambano Mapambano Bado Mapambano Mapambano Mapambano
Rhymes_ab - Ifikie Zakayo (it'sBill on the Beat Kama Kawa,) Vijana msilale Lale lale (Rhymes, ab, oK) Vijana msilale Bado mapambano Mapambano Mapambano Bado Mapambano I