Moyo hausemezeki Kwa kitu ukipendacho Moyo hausemezeki Kwa kitu ukipendacho Japo kiwe na hilakii Kisichoridhisha macho Japo kiwe na hilakii Kisichoridhisha macho
Moyo hausemezeki Kwa kitu ukipendacho Kwa kitu ukipendacho
Nimesema nawo sana nikaupa mahusio Nimesema nawo sana nikaupa mahusio Usiendekeze sana na mengi matamanio Usiendekeze sana na mengi matamanio Ujuwe neno hapana usikazanie ndio Ujuwe neno hapana usikazanie ndio
Moyo hausemezeki Kwa kitu ukipendacho Kwa kitu ukipendacho Nitauwambia nini moyo unisikilize Nitauwambia nini moyo unisikilize Uwingiwe na imani machozi yasinilizie Uwingiwe na imani machozi yasinilize Wenye rai nambieni wazo lenu nisikize Wenye rai nambieni wazo lenu nisikize
Moyo hausemezeki Kwa kitu ukipendacho Kwa kitu ukipendacho
Nimesema nawo sana nikaupa mahusio Nimesema nawo sana nikaupa mahusio Usiendekeze sana na mengi matamanio Usiendekeze sana na mengi matamanio Ujuwe neno hapana usikazanie ndio Ujuwe neno hapana usikazanie ndio
Moyo hausemezeki Kwa kitu ukipendacho Kwa kitu ukipendacho Kwa kitu ukipendacho Kwa kitu ukipendacho
Moyo ni kitu chepesi rahisi kuridhika Haupendi ni uhasi mara moja hukasirika Hadi upate nafasi hapo utafurahihika
Zanzibar Taarab - Moyo Hausemezeki Moyo hausemezeki Kwa kitu ukipendacho Moyo hausemezeki Kwa kitu ukipendacho Japo kiwe na hilakii Kisichoridhisha macho Japo kiwe na hilakii Kisichoridhisha macho