Lady Jay Dee - Nyumbani

Copied!edit Lyrics
original text at lyrnow.com/2064009
Intro
(Daxo wa Chali)

Unanipendezea nnapo tembea
Ukitabasamu
Mi napata raha, unanivutia ukiniangalia
Dunia yangu 'ina kamilika
Uwapo tu 'hapa nyumbani

Nikisema ni wewe
Elewa ni wewe
Unae nipa kiwewe
Hapa nyumbani

Nilia po nyumbani
(Ai, ai, mama we)
Niketi po chumbani
(Ai, ai, mama we)

Najionea, najihisia
Najionea (Nyumbani)
Najionea
Mahaba tu (Nyumbani)
Nyumbani
Najionea, najihisia
Najionea (Nyumbani)
Najionea
Mahaba tu, nyumbani
Siichoki sura yako
Nalo tamu penzi lako
Nzuri sauti yako, na ucheshi wako
Safari yangu kwako
Penzi langu ni lako
Maisha yangu 'ya kwako
Ya kwako tu
Kwako tu
Hapa nyumbani

Nikisema ni wewe
Elewa ni wewe
Unae nipa kiwewe
Hapa nyumbani

Nilia po nyumbani
(Ai, ai, mama we)
Niketi po chumbani
(Ai, ai, mama we)
 
0

Song Description:

edit soundcloud

SoundCloud:

edit soundcloud

More Lady Jay Dee lyrics

Lady Jay Dee - Daladala
{Verse 1} Muda umepita, umenifanya nikae chini Nitafakari Kumbe ni mbali tumetoka Mmm Muda umepita, umenifanya nikae chini Nitafakari {Verse

Lady Jay Dee - I Love Myself
{Intro} I love myself {Verse 1} Sina wa kunikwaza Nipo na wakuniliwaza Sijawahi kujidanganya, kujichanganya Najipenda kujiweka kwanza

Lady Jay Dee - Don't Give Up On Me
{Intro} Lalala Lalala, la Lalala Lalala, la Lalala Lalala, la Lalala Lalala, ooh {Verse 1} Please don't give up on me,

Lady Jay Dee - Kupendwa Raha
{Intro: Mr. Blue} Hold my hand Babylon Bizzy Okay, yo Uh, uh Jaydee {Verse 1: Lady Jaydee} Kupendwa raha bana Hata mikunjo kunjo kwa

Lady Jay Dee - Lololo
{Intro} This is (?) Mmm Don't cry (?) Komando Jide {Chorus: Lady Jaydee} Wacha we Lololo Wacha we, 'wacha hizo Wacha

Lady Jay Dee - Nyumbani
{Intro} (Daxo wa Chali) Unanipendezea nnapo tembea Ukitabasamu Mi napata raha, unanivutia ukiniangalia Dunia yangu 'ina kamilika Uwapo tu 'hapa

Lady Jay Dee - Baby Love
{Intro} Mmm, baby love Baby love (?) Nishike baby love Niguse baby love Touch me, baby love Baby love Baby love Nishike baby love

Lady Jay Dee - Tufurahi
Mmm Nimeshachumia juani Nalia kivulini Silaha pesa mkononi Oh, yeah Biashara asubuhi, subuhi Mahesabu jioni Maswali ya nini? Hapa tuna toa,

Lady Jay Dee - Chorus
Bongo, eh Bongo Dar-es-Salaam Utalia, lia, lia, lia Bongo Dar-es-Salaam Kaa chonjo, weh... Ndani ya Dar-es-Salaam Utalia, lia, lia, lia Bongo Dar-es-Salaam Kaa

Lady Jay Dee - Tangu Mwanzo
{Chorus: Lady Jaydee and Both} Tangu mwanzo Tangu mwanzo Kisa kilicho pelekea, mambo yote kuvurugika Visa tu vinajirudia, lakini kaa ukitambua Hii ni tangu