Msomali - Happy birthday to me

Copied!edit Lyrics
original text at lyrnow.com/2068421
**J4d sound**
**Vitamin Music forever**
**Adasco mtu mbaaya**

Leo siku ya furaha ningekuwa na mama
Alionileta duniani
Natamani siku ya furaha leo
Ningekuwa na mama alionileta duniani
Mama popote ulipo leo ndio ile siku ulionileta duniani
Najua hapa nilipo upo, unaniskia ila ndio mama sikuoni
Ungekuwepo mama cake ningekulisha
Ungekuwepo mama mbele ningekuita
Ungekuwepo mama cake ningekulisha
Ungekuwepo mama mbele ningekuita

Leo mama happy birthday to me
Happy birthday to me leo mama
Happy birthday to me
Happy birthday to me leo mama
Happy birthday to me
Happy birthday to me mi mwanao
Happy birthday to me
Happy birthday to me

(iii iiiii iiiii iiiii)
Acha nikusifie sifa zako nikupе
Mama yangu mie
Popote ulipo nakuombea dua zangu miе
Zikawe mwanga zikuangaze uko ulipo wewe
Unanisikia mama mimi nakupenda sana
Unanisikia mama mimi nakupenda sana
Ungekuwepo mama cake ningekulisha
Ungekuwepo mama mbele ningekuita
Ungekuwepo mama cake ningekulisha
Ungekuwepo mama mbele ningekuita

Leo mama happy birthday to me
Happy birthday to me leo mama
Happy birthday to me
Happy birthday to me leo mama
Happy birthday to me
Happy birthday to me mi mwanao
Happy birthday to me
Happy birthday to me

Aaahh Vitamin Music forever
If you love your mama say Mama
 
0

Song Description:

edit soundcloud

SoundCloud:

edit soundcloud

More Msomali lyrics

Msomali - Happy birthday to me
**J4d sound** **Vitamin Music forever** **Adasco mtu mbaaya** Leo siku ya furaha ningekuwa na mama Alionileta duniani Natamani siku ya furaha leo Ningekuwa na mama

Msomali - Ni wewe
J4D sound Ah Vitamin ooohh Adasco m2 Baaad Chorus Ni wewe unaenifanya nijisikie nipo juu kwenye hii dunia Ni wewe unaejua mpenzi wako sina pesa unanivumilia Ni

Msomali - Unitaki
Future Pacheko midundo Vitamin Music forever Inaama ndio unitakii (nalia mama aah) Sms huzionii (nalia mama aah) Simu haupokeii (nalia mama aah) Naukipokea

Msomali - Kwanini
Aaahh Msomalii hapa Nikiwa Sambamba Na Wee Mushizo utawauwa Hasa kwanini kwanini Hutaki kutoka Na mimi HAsa kwanini kwanini Hutaki kutoka Na mimi Hasa kwanini

Msomali - Nenda dada
Nenda dada aaah,Nenda dada aaah Na engine ya pendo imefelii Kwa ulichonifanyia haki sio kweli Na engine ya pendo imefelii Kwa ulichonifanyia wala sio kweli Nenda dada