Lady Jay Dee - Wanaume Kama Mabinti

Copied!edit Lyrics
original text at lyrnow.com/2097757
Chorus: Lady Jaydee
Mnakula, kunywa na kuvaa
Siku zinaenda
Vya bure hupenda kupewa
Wala hamna fikira
Kila upande mna fit
Siku zinaenda
Vinywa vimejaa ufitini
Wanaume kama mabinti

Verse 1: Lady Jaydee
Ninapo sema wanaume
Si maanishi wote
Ila wale wenye tabia
Kama za mabinti
Utawaona kwenye magari
Ya mademu zao
Wakitanua, na kucheka, 'utadhani yao
Hupenda kuwaliwaza wamama watu wazima
Hawana mapenzi ya kweli, moyoni wanawaza pesa
Nikisema wanajiuza 'katu sito kosea
Tuwatofautishe 'je?
Hawa na machangudoa
Ah

Chorus: Lady Jaydee
Mnakula, kunywa na kuvaa
Siku zinaenda
Vya bure hupenda kupewa
Wala hamna fikira
Kila upande mna fit
Siku zinaenda
Vinywa vimejaa ufitini
Wanaume kama mabinti

Verse 2: Mwana F.A. & Lady Jaydee
Sema, sema, sema
Haki yako Jaydee
Tembo kuvaa vipusa ni halali
Haki yako Zai Dee
Siwezi danganya 'sina upendo, pande mlipo
'Marafiki, ndugu wa mwisho wa wiki
Hatuwezi kuwa washkaji kama una moyo wa plastic
Ambwene aliona usoni kama watu
(Usoni kama watu, moyoni unafiki mtupu)
Moyoni unafiki mtupu
Sio ku-party, sio kuvaa
Tegemezi mpaka mkwanja wa condoms
Kufahamu hii ni simple zaidi ya kumnyatia kiziwi
Wanaume gani hamuelewi, milupo ya kiume
Nataka muache kutazama, hadi nataka muone
Najidanganya mwenyewe na inakolea zaidi ya mnavyo danganya wengine
Sizuii msifanye mfanyayo
Tunafikiri kwa ubongo sio kwa nyayo

Inshallah, Inshallah kibao
Bila maisha kuyafata mbio, ujinga huo
Kusanya mawazo yenu na naacha Mungu awahukumu
Binamu

Chorus: Lady Jaydee
Mnakula, kunywa na kuvaa
Siku zinaenda
Vya bure hupenda kupewa
Wala hamna fikira
Kila upande mna fit
Siku zinaenda
Vinywa vimejaa ufitini
Wanaume kama mabinti

Verse 3: Lady Jaydee
Ukiwa kuta kwenye vikao
Ooh, vya pombe
Eti wao wasemaji, wanaojua yote
Hawatoi hata senti, 'yao kulipa bili
Ikifika zamu yao, huenda msalani
Kwa ukuwadi namba moja wao hupenda
Wanaopenda kuwaliwaza mademu wa wenzao
Shoga zangu hebu leteni magauni tuwavishe
Hijabu tuwafunge, na vimini, vi-top, 'tuwaazime

Chorus: Lady Jaydee
Mnakula, kunywa na kuvaa
Siku zinaenda
Vya bure hupenda kupewa
Wala hamna fikira
Kila upande mna fit
Siku zinaenda
Vinywa vimejaa ufitini
Wanaume kama mabinti

Verse 4: Lady Jaydee
Umeona wapi mwanaume kunyweshwa pombe?
Hivi tangu lini, dume zima likasutwa?
Umesikia ya jana?
Hassani naye kaja kitchen party
Mwashangaza

Chorus: Lady Jaydee
Mnakula, kunywa na kuvaa
Siku zinaenda
Vya bure hupenda kupewa
Wala hamna fikira
Kila upande mna fit
Siku zinaenda
Vinywa vimejaa ufitini
Wanaume kama mabinti

Chorus repeat: Lady Jaydee
Mnakula, kunywa na kuvaa
Siku zinaenda
Vya bure hupenda kupewa
Wala hamna fikira
Kila upande mna fit
Siku zinaenda
Vinywa vimejaa ufitini
Wanaume kama mabinti

(Instrumentals)
 
0

Song Description:

edit soundcloud

SoundCloud:

edit soundcloud

More Lady Jay Dee lyrics

Lady Jay Dee - Siku Hazigandi
Mmmh... Aiya yah yah yah yah yaah {Chorus} Yote mlosema, mlotenda nasahau Nasonga mbele Mangapi Yamesemwa mangapi nimeona Mmmh mliosema, aaah

Lady Jay Dee - I Found Love
I found love I found love Haya sio mapenzi this is magic I found love I found love Hata kueleza siwezi, this is magic Hizo I love you I love you too Tushavuka

Lady Jay Dee - Tangu Mwanzo
{Chorus: Lady Jaydee and Both} Tangu mwanzo Tangu mwanzo Kisa kilicho pelekea, mambo yote kuvurugika Visa tu vinajirudia, lakini kaa ukitambua Hii ni tangu

Lady Jay Dee - Chorus
Bongo, eh Bongo Dar-es-Salaam Utalia, lia, lia, lia Bongo Dar-es-Salaam Kaa chonjo, weh... Ndani ya Dar-es-Salaam Utalia, lia, lia, lia Bongo Dar-es-Salaam Kaa

Lady Jay Dee - Tufurahi
Mmm Nimeshachumia juani Nalia kivulini Silaha pesa mkononi Oh, yeah Biashara asubuhi, subuhi Mahesabu jioni Maswali ya nini? Hapa tuna toa,

Lady Jay Dee - Baby Love
{Intro} Mmm, baby love Baby love (?) Nishike baby love Niguse baby love Touch me, baby love Baby love Baby love Nishike baby love

Lady Jay Dee - Nyumbani
{Intro} (Daxo wa Chali) Unanipendezea nnapo tembea Ukitabasamu Mi napata raha, unanivutia ukiniangalia Dunia yangu 'ina kamilika Uwapo tu 'hapa

Lady Jay Dee - Lololo
{Intro} This is (?) Mmm Don't cry (?) Komando Jide {Chorus: Lady Jaydee} Wacha we Lololo Wacha we, 'wacha hizo Wacha

Lady Jay Dee - Kupendwa Raha
{Intro: Mr. Blue} Hold my hand Babylon Bizzy Okay, yo Uh, uh Jaydee {Verse 1: Lady Jaydee} Kupendwa raha bana Hata mikunjo kunjo kwa

Lady Jay Dee - Don't Give Up On Me
{Intro} Lalala Lalala, la Lalala Lalala, la Lalala Lalala, la Lalala Lalala, ooh {Verse 1} Please don't give up on me,