To RateNa hii baridi ningekuwa na ye
Ningemkumbatia nkimwimbia nyimbo nzuri za mapenzi all day
Nimueleze kuwa maisha yangu yote yaliyobakia kwenye hii dunia ningependa niishi na ye
Na hii baridi i would like you to hold me
Tell me unanifeel na sio kuniletea story
Kila kitu unacho we you control me
Niambie the way you feel, baby boy mi i’m on it
Na hii baridi tungewatch movie
Ndani ya dakika ghafla tuko naked kinawaka like a movie
Tukiwa high kwenye good doobie
Champagne we sip and kiss
Hot water kwa jacuzzi
Na hii baridi Yani I can't explain
Mi mtu wa misele ila kwa hii mvua ningekaa ndani ntulie
Nimpikie kisha nimpakulie
Nile nishibе alafu nguvu zangu zote kwake nikammalizie
Na timе hii ningemfanya shuka
Nimfunike nikimpapasa body yake mpaka kunakucha
Nimpanguse kama taulo kuanzia chini Hadi juu
Nimpitishe ulimi mwili mzima ka namchora tatoo
Bridge
Kwake sikufall in love
Nili-rise juu
Hata ka ni gangsta kwake nitakua romantic tu
And I ain't for the low package
Nmechagua kuishi nae kwa mazuri na mabaya yake
Chorus
Hey baby
Unanitesa daily
Kichwani kwangu kama melody baby
Nahofia nkikukosa maana
We ndio unanikosha
Oh no!
Pa pa mpararaampa
Pa pa pa mpa mpa mpararampampa
Verse Two!
Nawaza kama kuna life after death basi nothing can do us apart
Sounds like a wedding vow, i like that
Kita..
STOP!!
Tungezima taa
Alafu uride fasta kama vile break imekataa
Kukuwaza tu napatwa goosebumps
Babe Haya mambo ya kugombana sio
Kumbukumbu yananirudia matukio ya hapa ndani tunavyoshindaga zaidi ya siku tatu bila nguo
I think i miss you
A little bit jealous nawaza ka uko na mi tu
Should i tex you!? Nah nitaku-mind tugombane tu
I think I’m not the only one you’ve been dealing with
But im sure we can fix this
Nitaacha Ego nimpigie nimwambie nimemmiss
Maana siku itaisha vipi sijaongea nae
Sijaona cha kunieka mbali nae
Kwake siku-fall in love
Nili-rise juu
Hata ka ni gangsta
Kwake nitakua romantic tu
And I ain’t for the low package
Nimechagua kuishi naye kwa mazuri na mabaya yake
Chorus
Hey baby
Unanitesa daily
Kichwani kwangu kama melody baby
Nahofia nkikukosa maana
We ndio unanikosha
Oh no!
Pa pa mpararaampa
Pa pa pa mpa mpa mpararampampa
More Rapcha lyrics
Rapcha - Umefanana nae
Baby today Lemme talk you Kwakua nakupenda sana ni salama sana ujue the truth Please vumilia utasahau na ili mimi niwe free leo nita comfess tu Ex wangu umefanana nae sana yani
Rapcha - TwoFiveVibes Freestyle 4
Speaking of me nshakataa kuwa normal Kabla hujamiliki gari jua kuendesha akili na mdomo So Wakileta ujuaji tunawalia michuno Afu kinachofata ni mikuno ka Fernandez Bruno! NYIE
Rapcha - Kisanga Freestyle
Jana njaa imenipiga nusu kuniua Sema getto hamna Friji ningepata hata Ka juice unajua Baisa Aliacha buku mezani Nikasmile kisha nkajivuta kwa muha Nipate japo hata vitumbua
Rapcha - Drama Freestyle
Tuliambizana tusishike simu za wapenzi tuaminiane We ulienda kushika ya nini Aliiacha kidogo akaingia bafuni afu akasahau kupiga lock Dah hata mimi ningeitupia jicho naamini
Rapcha - Amen
{Verse I: Rapcha} Uh hebu tazameni Matendo ya Mungu yanavyotisha Amefanya mengi makubwa ya kustaajabisha Marafiki leo wana upendo kesho umekwisha Ila upendo
Rapcha - Vunga
Chorus: Fanya kama hujaniona Fanya kama hujaniona Tukiumana kona Fanya kama hujaniona' ka una pigo za kiree, Basi' Yeah *Blaq>>Blaq* Fanya kama
Rapcha - Majani
M. A. J. A. N. I (Majani) M. A. J. A. N. I (Majani) M. A. J. A. N. I (Majani) Verse 1 1996 yeah i started running this game Nkakiwasha and
Rapcha - Go Rapcha
Kwa Heshima ya getto Nyoosha ngumi juu Onetime (yes) Up Up Up Breaking News Kituo Cha polisi kimevamiwa (yes) Up Up Up (Say whaaaat)
Rapcha - Goo Rapcha
Kwa Heshima ya getto Nyoosha ngumi juu Onetime (yes) Up Up Up Breaking News Kituo Cha polisi kimevamiwa (yes) Up Up Up (Say whaaaat)
Rapcha - Unaua Vibe Remix
Ametinga kinoma Mwache acheze ajimwage (Femi uno) Tinga kinoma Dj tena idondoshe Verse 1 Nikapatana na mchizi Akanishow