Lady Jay Dee - Kupendwa Raha

To Rate
Intro: Mr. Blue
Hold my hand
Babylon Bizzy
Okay, yo
Uh, uh
Jaydee

Verse 1: Lady Jaydee
Kupendwa raha bana
Hata mikunjo kunjo kwa sura imeisha
Na tabasamu la nivisha ujana, ah
Kwa raha ya penzi bwana
Nakuona kama maji ya bahari kwa mwili
(?) Ari na shai kwa penzi, eeh
Mi nimekuwa mwepesi kwako
Kusema "nakupenda wewe"
Kwa hapo zamani hili neno kusema ni mpaka niwe high, high, high, high

Pre-Chorus
Kwako niko huru, sijihami
Niko huru, huru
Nishike mkono
Nivushe ng'ambo nyingine
Nivushe, oh
Nishike, oh
Tufike, oh
Pamoja
Nishike mkono
Nivushe ng'ambo nyingine
Nivushe, oh
Tuvuke, oh
Tufike, oh
Pamoja
Verse 2: Mr. Blue & Lady Jaydee
Eh!
Yo
Nishike mkono, 'nikushike twende kando
Nikukoki kijeshi, we si Komando?
(He-he)
Bonge la penzi
Bonge la (?)
Usiku nzima hewani, 'tunamaliza bando
Kwako niko huru, sijihami
Niko huru, uu
Unanipa raha 'Bongo naiona Chicago
Unafanya wanga watulize kipago (Tuli)
Mahaba mengi kama mvua inayo churuzika
(Haa)
Bila ya Mungu kwenye jua tunge kwaruzika
Leo tunatanua, nani wakuturudisha?
(Hii,iii,iii)

Pre-Chorus
Nishike mkono
Nivushe ng'ambo nyingine
Nivushe, oh
Nishike, oh
Tufike, oh
Pamoja
Nishike mkono
Tuvuke ng'ambo nyingine
Nivushe, oh
Tuvuke, oh
Tufike, oh
Pamoja
Chorus
Kupendwa raha bwana
Na nguo nikivaa, za kaa kwa mwili
Na raha sana usoni na rohoni
Kuwa nako penzi bwana, siku zaenda kasi na wala hazigandi
Thamani ya moyo na si ya mfukoni

Bridge
Kwako niko huru, sijihami
Niko huru, uuu
Nimependa, nawe umependa
Tuwe na amani
Kwako niko huru, sijihami
Niko huru, uuu

Outro
Nishike mkono
Nivushe ng'ambo nyingine
Nivushe, oh
Nishike, oh
Tufike, oh
Pamoja

Comments

More Lady Jay Dee lyrics

Lady Jay Dee - Daladala
{Verse 1} Muda umepita, umenifanya nikae chini Nitafakari Kumbe ni mbali tumetoka Mmm Muda umepita, umenifanya nikae chini Nitafakari {Verse

Lady Jay Dee - I Love Myself
{Intro} I love myself {Verse 1} Sina wa kunikwaza Nipo na wakuniliwaza Sijawahi kujidanganya, kujichanganya Najipenda kujiweka kwanza

Lady Jay Dee - Don't Give Up On Me
{Intro} Lalala Lalala, la Lalala Lalala, la Lalala Lalala, la Lalala Lalala, ooh {Verse 1} Please don't give up on me,

Lady Jay Dee - Kupendwa Raha
{Intro: Mr. Blue} Hold my hand Babylon Bizzy Okay, yo Uh, uh Jaydee {Verse 1: Lady Jaydee} Kupendwa raha bana Hata mikunjo kunjo kwa

Lady Jay Dee - Lololo
{Intro} This is (?) Mmm Don't cry (?) Komando Jide {Chorus: Lady Jaydee} Wacha we Lololo Wacha we, 'wacha hizo Wacha

Lady Jay Dee - Nyumbani
{Intro} (Daxo wa Chali) Unanipendezea nnapo tembea Ukitabasamu Mi napata raha, unanivutia ukiniangalia Dunia yangu 'ina kamilika Uwapo tu 'hapa

Lady Jay Dee - Baby Love
{Intro} Mmm, baby love Baby love (?) Nishike baby love Niguse baby love Touch me, baby love Baby love Baby love Nishike baby love

Lady Jay Dee - Tufurahi
Mmm Nimeshachumia juani Nalia kivulini Silaha pesa mkononi Oh, yeah Biashara asubuhi, subuhi Mahesabu jioni Maswali ya nini? Hapa tuna toa,

Lady Jay Dee - Chorus
Bongo, eh Bongo Dar-es-Salaam Utalia, lia, lia, lia Bongo Dar-es-Salaam Kaa chonjo, weh... Ndani ya Dar-es-Salaam Utalia, lia, lia, lia Bongo Dar-es-Salaam Kaa

Lady Jay Dee - Tangu Mwanzo
{Chorus: Lady Jaydee and Both} Tangu mwanzo Tangu mwanzo Kisa kilicho pelekea, mambo yote kuvurugika Visa tu vinajirudia, lakini kaa ukitambua Hii ni tangu

Lady Jay Dee

Judith Wambura Mbibo, better known by her stage name Lady Jaydee, is a Tanzanian singer.