Darassa - Relax

Copied!edit Lyrics
original text at lyrnow.com/1428049
(Abbah)

Wazee msilale mchaka mchaka
Kimbiza dunia haina mipaka
Ukiweka nia kuna njia utapata
Kama unasubiria hakuna matata

Mama hajalea maproso, No
Kazaa soldier Commando
Na siku hizi heshima sio shikamoo, ooh
Time money, I gotta go
Sometimes, vitu zinakaza unakomaa
We utalala, hauwezi ukailaza masaa
Unaleta utani?
Okey(okey)

Oh nah nah nah nah
Jifanye kichaa, zua mabalaa
Zagaa zagaa, simama kaa
Bang! Unaenda wapi? Give it up eey

Umepanick? Relax
Pumzika kwenye kiti
Ikibidi pata drinks, relax

Umepanick eeeh? Relax
This is not what you think
Shughuli bado mbichi
Relax

Unalewa fasta
Mi ndio kwanza napata starter
Mezani kwasa kwasa
Sukuma kanyaga twende
Rudi ata kwa puncture

Mdomo haulipiwi ukasema lolote
Uongo hauna guarantee ya kufika popote
Kitenisi hakidundi kwenye matope
Usivae kinyago, vaa swagga unaweza niogope
Sinaga habari za kijinga
Akili mali ukichimba
Sitafuti Zari la kuvimba
Nachonga nachimba

Umetaka mwеnyewe
Usipige kеlele unapokuwa unawinda
Kaa mbele unanijua tinga tinga
Nishapigana vita nyingi nimeshinda

Umepanick? Relax
Pumzika kwenye kiti
Ikibidi pata drinks, relax

Umepanick eeeh? Relax
This is not what you think
Shughuli bado mbichi
Relax
 
0

Song Description:

edit soundcloud

SoundCloud:

edit soundcloud

More Darassa lyrics

Darassa - No Body
Classic music) Nobody loves you the way that i do Nobody can love you the way that i do yeah (baby nobody) Nobody loves me the way that i do Nobody can love you the way that

Darassa - Achia Njia
Wananitingisha sitingishiki Nimeng'ang'ania seati Hisia hazifichiki Kipenda roho unakula hata nyama mbichi Mapenzi yanashikanga ngangari Mapenzi yana nguvu ya

Darassa - Tofauti
Anatingisha sitigishiki Nimeng’a ang ania siti Hisia hazifichiki Kipenda roho utakula hata nyama nbichi Mapenzi yanashikaga ngagali Mapenzi yana nguvu ya hatari Moto wa

Darassa - Leo
(Classic Music) (Abbah) Hello its me again Mr Burudani, take away the pain Pole kwa kuchelewa si unajua foleni Nawapa vidonge kutuliza complain Kichwa,

Darassa - Tumepoteza
(Abbah) Ah, I swear to God for my life That I speak from my heart Ushawai kupenda Let me see your hands up (Classic Music) Ah, mwanga umeingia

Darassa - Relax
(Abbah) Wazee msilale mchaka mchaka Kimbiza dunia haina mipaka Ukiweka nia kuna njia utapata Kama unasubiria hakuna matata Mama hajalea maproso, No Kazaa

Darassa - Shika
Mguu pande mguu sawa Tembea, tembea Nataka uwanja nitambe Sogea, sogea Wako wapi wapambe? Ooh kapotea, potea Ngoma itambe hiyo Kidedea, kidedea

Darassa - Juju
Sio mapenzi ni juju Haya sio mapenzi ni juju(Juju) Angekuwa wimbo DJ angeurudia Kila mmoja angecheza Utamani kuimba na kuitikia Kama kinywaji unaongeza Rangi

Darassa - Yumba
Yumba eeh Yumba yaani Darassa na KondeBoy (255 Champion boy, Classic) Yumba, Yumba Aga nikiwind my beiby Jipinde pinde kama kama nyoka Pinda mgongo unibebe

Darassa - INFORMATION
INTRO Did your Mom not tell you, don't go play outside When the weather is bad ? !!! VERSE 1 Usipolala macho hauna chako umeuwawa Ukikimbia