Darassa - Kama Utanipenda

Copied!edit Lyrics
original text at lyrnow.com/2066816
Intro
Abba!
(Classic Music)
Mm
Mm

Toto zile type
Uh

Verse 1: Darassa & Rich Mavoko
Mrembo njoo tujenge malengo
Nikikutazama naona nyufa kwenye mjengo
Unaonekana kama mji wenye upendo
Unafanana na mtu alochoshwa na mwendo
Si nikupe namba yangu 'unipigie weekend?
(Weekend, weekend, baby)
Moyo unasema mchukue huyu mtoto yuko stendi
Vile anavyo hema sio kama mtu hapendi
Ameuelewa muziki, ’anahofia kucheza
Anasema na lugha chafu, ameshakuwa kifimbo cheza
Sema nini
Na Marlow na bembeleza
Kwa sera za Suma Lee 'na kula chungwa mpaka chenza
Eh, shida kujiuguza
Mama you hot na uko ndani unaniunguza
Sitaki kujua, hata nikijua nitapuuza
Ukitaka kula bata uache kumchunguza
Uh!

Chorus
Kama utanipenda
Sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza
Katafute refa wa kukubeba
Na kama utanipenda
Sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza
Katafute refa wa kukubeba

Post-Chorus: Rich Mavoko & Darassa
You know I like you
Mi nakupenda and I give you want you want, eh
(Eh, whatchu want?)
Nipe uchizi nidate
Hata nikilala kwenye usingizi nifate
(The way you talk, mama)
You know I like you
Mi nakupenda and I give you want you want, baby
(Eh, whatchu want?)
Nipe uchizi nidate
Hata nikilala kwenye usingizi nifate

(Instrumentals)

Verse 2: Darassa
Uh
Hakuna single wala movie
Mama, kwangu you're my star
Mi shabiki yako nasimama hata ukikaa
Nanga isha paa, breki ziko Dar
Jitazame kwenye kioo, ’how beautiful you are
Mapenzi ukichaa, mapenzi uchizi
We unacho ukikataa, mwingine inamyima usingizi
Mwingine atakesha
Mwingine atatesa
Mwingine atataka akutumie kama pesa
Yanajuana madini, yakikutana
Mwanamke anahitaji matunzo 'na ndo kitu nachofanya
We utasema mi kichaa
Kumbe mwenzako, nafata what I feel inside
Uh!

Chorus
Kama utanipenda
Sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza
Katafute refa wa kukubeba
Na kama utanipenda
Sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza
Katafute refa wa kukubeba

Post-Chorus: Rich Mavoko & Darassa
You know I like you
Mi nakupenda and I give you want you want, eh
(Eh, whatchu want?)
Nipe uchizi nidate
Hata nikilala kwenye usingizi nifate
(The way you talk, mama)
You know I like you
Mi nakupenda and I give you want you want, baby
(Eh, whatchu want?)
Nipe uchizi nidate
Na nikilala kwenye usingizi nifate

Hook: Darassa & Rich Mavoko
Unataka nini mama?
Usiniumize moyo
Mbawa za kupaa?
Mi niko loyal
Uendeshe motor-car?
Punguza uchoyo
Nguo za kuvaa?
You're my everything for me
Na ukiwa out, oh whatchu want?

Outro
Mbawa za kupaa?
(Baby, wooh)
Uendeshe motor-car?
Nguo za kuvaa?
Na ukiwa out, oh whatchu want?

Drop
You're my everything for me
You're my only one
 
0

Song Description:

edit soundcloud

SoundCloud:

edit soundcloud

More Darassa lyrics

Darassa - No Body
Classic music) Nobody loves you the way that i do Nobody can love you the way that i do yeah (baby nobody) Nobody loves me the way that i do Nobody can love you the way that

Darassa - Achia Njia
Wananitingisha sitingishiki Nimeng'ang'ania seati Hisia hazifichiki Kipenda roho unakula hata nyama mbichi Mapenzi yanashikanga ngangari Mapenzi yana nguvu ya

Darassa - Tofauti
Anatingisha sitigishiki Nimeng’a ang ania siti Hisia hazifichiki Kipenda roho utakula hata nyama nbichi Mapenzi yanashikaga ngagali Mapenzi yana nguvu ya hatari Moto wa

Darassa - Leo
(Classic Music) (Abbah) Hello its me again Mr Burudani, take away the pain Pole kwa kuchelewa si unajua foleni Nawapa vidonge kutuliza complain Kichwa,

Darassa - Tumepoteza
(Abbah) Ah, I swear to God for my life That I speak from my heart Ushawai kupenda Let me see your hands up (Classic Music) Ah, mwanga umeingia

Darassa - Relax
(Abbah) Wazee msilale mchaka mchaka Kimbiza dunia haina mipaka Ukiweka nia kuna njia utapata Kama unasubiria hakuna matata Mama hajalea maproso, No Kazaa

Darassa - Shika
Mguu pande mguu sawa Tembea, tembea Nataka uwanja nitambe Sogea, sogea Wako wapi wapambe? Ooh kapotea, potea Ngoma itambe hiyo Kidedea, kidedea

Darassa - Juju
Sio mapenzi ni juju Haya sio mapenzi ni juju(Juju) Angekuwa wimbo DJ angeurudia Kila mmoja angecheza Utamani kuimba na kuitikia Kama kinywaji unaongeza Rangi

Darassa - Yumba
Yumba eeh Yumba yaani Darassa na KondeBoy (255 Champion boy, Classic) Yumba, Yumba Aga nikiwind my beiby Jipinde pinde kama kama nyoka Pinda mgongo unibebe

Darassa - INFORMATION
INTRO Did your Mom not tell you, don't go play outside When the weather is bad ? !!! VERSE 1 Usipolala macho hauna chako umeuwawa Ukikimbia